11 Februari

Jan - Februari - Mac
1 2 3 4 5 6 7
8 9 10 11 12 13 14
15 16 17 18 19 20 21
22 23 24 25 26 27 28
29
Kalenda ya Gregori

Tarehe 11 Februari ni siku ya arubaini na mbili ya mwaka. Mpaka uishe zinabaki siku 323 (324 katika miaka mirefu).

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu ya Bikira Maria wa Lurdi; pia ya mtakatifu Papa Gregori II na ya mtakatifu Papa Paskali I

Other Languages

Copyright