11 Septemba

Ago - Septemba - Okt
1 2 3 4 5 6 7
8 9 10 11 12 13 14
15 16 17 18 19 20 21
22 23 24 25 26 27 28
29 30
Kalenda ya Gregori

Tarehe 11 Septemba ni siku ya 254 ya mwaka (ya 255 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 111.

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Proto na Yasinto, Pafnusi wa Tebe, Pasienti wa Lyon, Saserdosi wa Lyon, Yohane Gabrieli Perboyre n.k.

Other Languages

Copyright