12 Februari

Jan - Februari - Mac
1 2 3 4 5 6 7
8 9 10 11 12 13 14
15 16 17 18 19 20 21
22 23 24 25 26 27 28
29
Kalenda ya Gregori

Tarehe 12 Februari ni siku ya arubaini na tatu ya mwaka. Mpaka uishe zinabaki siku 322 (323 katika miaka mirefu).

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu ya watakatifu wafiadini wa Abitine na ya mtakatifu Benedikto wa Aniane, abati

Other Languages

Copyright