13 Agosti

Jul - Agosti - Sep
1 2 3 4 5 6 7
8 9 10 11 12 13 14
15 16 17 18 19 20 21
22 23 24 25 26 27 28
29 30 31
Kalenda ya Gregori

Tarehe 13 Agosti ni siku ya 225 ya mwaka (ya 226 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 140.

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Papa Pontian, Ipolito, Kasiani wa Imola, Antioko wa Lyon, Radegunda, Maksimo Muungamadini, Vigbati, Yohane Berchmans, Benildo Romancon, Dulse Pontes n.k.

Other Languages

Copyright