15 Agosti

Jul - Agosti - Sep
1 2 3 4 5 6 7
8 9 10 11 12 13 14
15 16 17 18 19 20 21
22 23 24 25 26 27 28
29 30 31
Kalenda ya Gregori

Tarehe 15 Agosti ni siku ya 227 ya mwaka (ya 228 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 138.

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha sherehe ya Bikira Maria Kupalizwa mbinguni (Waorthodoksi wanaiita Kulala kwa Mama wa Mungu), lakini pia kumbukumbu za watakatifu Tarsisi wa Roma, Stratoni na wenzake, Simplisiani, Alipius wa Thagaste, Yasinto wa Krakau, Stanislaus Kostka, Alois Batis na wenzake n.k.

Other Languages

Copyright