15 Machi

Feb - Machi - Apr
1 2 3 4 5 6 7
8 9 10 11 12 13 14
15 16 17 18 19 20 21
22 23 24 25 26 27 28
29 30 31
Kalenda ya Gregori

Tarehe 15 Machi ni siku ya 74 ya mwaka (ya 75 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 291.

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu ya mtakatifu Papa Zakaria, ya mtakatifu Luisa wa Marillac, mtawa, na ya Klemens Maria Hofbauer, padri

Other Languages

Copyright