17 Oktoba

Sep - Oktoba - Nov
1 2 3 4 5 6 7
8 9 10 11 12 13 14
15 16 17 18 19 20 21
22 23 24 25 26 27 28
29 30 31
Kalenda ya Gregori

Tarehe 17 Oktoba ni siku ya 290 ya mwaka (ya 291 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 75.

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Ignas wa Antiokia, Nabii Hosea, Rufo na Zosimo, Wafiadini wa Voli, Yohane wa Asyut, Fiorenso wa Orange, Richadi Gwyn, Isidori Gagelin n.k.

Hourglass.svg Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 17 Oktoba kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Other Languages

Copyright