22 Mei

Apr - Mei - Jun
1 2 3 4 5 6 7
8 9 10 11 12 13 14
15 16 17 18 19 20 21
22 23 24 25 26 27 28
29 30 31
Kalenda ya Gregori

Tarehe 22 Mei ni siku ya 142 ya mwaka (ya 143 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 223.

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Rita wa Cascia, Kasto na Emilio, Basilisko wa Gumenek, Julia wa Corsica, Ausoni wa Angouleme, Atoni wa Pistoia, Mikaeli Ho Dinh Hy, Dominiko Ngon n.k.

Hourglass.svg Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 22 Mei kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Other Languages

Copyright