25 Machi

Feb - Machi - Apr
1 2 3 4 5 6 7
8 9 10 11 12 13 14
15 16 17 18 19 20 21
22 23 24 25 26 27 28
29 30 31
Kalenda ya Gregori

Tarehe 25 Machi ni siku ya 84 ya mwaka (ya 85 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 281.

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha sikukuu ya Bikira Maria Kupashwa habari, lakini pia kumbukumbu za watakatifu Dismas, Dula, Kwirino wa Roma, Matrona, Mona, Ermelandi, Prokopi wa Boemia, Margaret Clitherow, Lusia Filippini n.k.

Other Languages

Copyright