27 Agosti

Jul - Agosti - Sep
1 2 3 4 5 6 7
8 9 10 11 12 13 14
15 16 17 18 19 20 21
22 23 24 25 26 27 28
29 30 31
Kalenda ya Gregori

Tarehe 27 Agosti ni siku ya 239 ya mwaka (ya 240 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 126.

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Monika, Rufo wa Capua, Marselino, Manea na wenzao, Narno wa Bergamo, Poemen, Liseri, Sesari wa Arles, Yohane wa Pavia, Daudi Lewis n.k.

Other Languages

Copyright