4 Mei

Apr - Mei - Jun
1 2 3 4 5 6 7
8 9 10 11 12 13 14
15 16 17 18 19 20 21
22 23 24 25 26 27 28
29 30 31
Kalenda ya Gregori

Tarehe 4 Mei ni siku ya 124 ya mwaka (ya 125 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 241.

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Agapio, Sekondino na wenzao, Antonina wa Nisea, Floriani wa Lorch, Silvano na wenzake, Yohane Houghton na wenzake n.k.

Hourglass.svg Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 4 Mei kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Other Languages

Copyright