8 Novemba

Okt - Novemba - Des
1 2 3 4 5 6 7
8 9 10 11 12 13 14
15 16 17 18 19 20 21
22 23 24 25 26 27 28
29 30
Kalenda ya Gregori

Tarehe 8 Novemba ni siku ya 312 ya mwaka (ya 313 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 53.

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Simproniani na wenzake, Klaro wa Tours, Papa Adeodato I, Vileadi wa Brema, Godfredi wa Amiens, Yosefu Nguyen Dinh Nghi, Paulo Nguyen Ngan, Martin Ta Duc Thinh, Martin Tho, Yohane Mbatizaji Con n.k.

Other Languages

Copyright