Claudia Emerson
Claudia Emerson (13 Januari 1957 – 4 Desemba 2014) alikuwa mshairi wa kike kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 2006 alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Ushairi.
Other Languages
Copyright
- This page is based on the Wikipedia article Claudia Emerson; it is used under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 Unported License (CC-BY-SA). You may redistribute it, verbatim or modified, providing that you comply with the terms of the CC-BY-SA.