Internet Movie Database

Internet Movie Database (IMDb)
IMDB Logo 2016.svg
URL imdb.com
Biashara? Yes
Aina ya tovuti Online database for movies, television, and video games
Usajili Registration is optional for members to participate in discussions, comments, ratings, and voting.
Lugha zilizopo Kiingereza
Mmiliki Amazon.com
Muumba Col Needham (CEO)
Viumbe Oktoba 17, 1990; miaka 30 iliyopita (1990-10-17)
Alexa rank 48 (April 2014)[1]
Sasa Active

Internet Movie Database (IMDb) ni hifadhidata mkondoni unaohusiana na habari za filamu, vipindi vya televisheni, waigizaji, vikundi cha watayarishaji wa masuala ya filamu n.k., video gemu, na hivi karibuni wameongeza habari za majina yanayotumiwa na waigizaji kwenye filamu au TV.

IMDb ilianzishwa tarehe 17 Oktoba 1990, na mwaka wa 1998 ikachukuliwa na Amazon.com.

  1. Imdb.com Site Info. Alexa Internet. Iliwekwa mnamo 2014-04-01.

Other Languages

Copyright